Hadithi APK

Hadithi
Hadithi screenshot 1Hadithi screenshot 2Hadithi screenshot 3Hadithi screenshot 4Hadithi screenshot 5Hadithi screenshot 6Hadithi screenshot 7Hadithi screenshot 8
Tumekusanya hadithi mbalimbali kutoka kwa waandishi nguli kwa ajili yako na kila mtu. Sasa unaweza kusoma hadithi uzipendazo wakati wowote na mahali popote kupitia simu yako ya mkononi. Pakua app yetu leo uweze kufurahia stori tamu. Ahsante.

Hadithi APK reviews


Login to post your reviews
Denis Satiel review Denis Satiel
GOOD!
Gaooh_tz One review Gaooh_tz One
Hii app ni nzurii sana, na hadithi zake zankuvutia kama bado huna basi wakosa vingi mana huko kuna karamu za waandishii wengi sana. Embu pakua ukawasimulie wenzio
Omary Issa review Omary Issa
Ila wekeni hadith za sauti maana hizi zakusoma zinapoteza Sana muda ila kama hadith zenu zikiwa kwenye mfumo wa audio watu wengi wataweza kusikiliza Hukuwanafanya kazi zingine pia itakuwa na faida kwa wasomi na wasiosoma
Abdul Mnyika review Abdul Mnyika
Nimeuninstall
sababu moja tuu . . mmetoa hadithi za kusikiliza akati mnajua kabisa ndo zinapendwa .. so sorry broo .. nmeuninstall app yenu ila mlirudisha za kusikiliza ntie email ntaidownload tena and ntawapa nyota tano
Dauda Jr review Dauda Jr
awesome app
good application, easy to use, but there is one problem on dis updated app, de stored stories can't be read offline, fix it...!!!!
CHRISTIAN CHUWA review CHRISTIAN CHUWA
Ipo poa ila baadhi ya vtabu vya Richard Mwambe havpo tupen utaratbu wa kuvipata hata kwa kulipia mkifanya hvyo nafkr mtakua mmekidhi mahtaj ya baadhi ya hadhira wenu hususan mm nnayependa riwaya za upelelezi
Hilali Alexander Ruhundwa review Hilali Alexander Ruhundwa
SIMULIZI ZA SAUTI
Application hii ni nzuri ila ilani yangu kwenu waandishi dunia imebadilika na watu wapo busy hawana nafasi ya kusoma. Leteni kazi zenu ziwekwe kwenye mfumo wa sauti. Mnajificha sana. Naamini kazi zangu mnazifahamu. Njooni tufanye kazi na app iwe na vyote maandishi na sauti
Shafic Abdalaziiz review Shafic Abdalaziiz
Kidding app
Its gud app to sum extent, but y dd it change from the first? Once i took it viewd "waandish, hadith mpya ect" bt now inakuaje inaonyesha orodha ya hadithi moja kwa moja? Je km cc tunataka kuchagua hadithi may be mpya au za mwandishi fulani? Rekebishen app yenu.
Makongoro Junior review Makongoro Junior
useful
Nilikuw natafuta kweny mitandao hiz simuliz na baadhi nlizopata zilikuw haziishi lakin kwny app ya hadithi nimezikuta zote...it's very useful to me
Goliath Mwamlima review Goliath Mwamlima
Nimefulahi hapo sawa ila cha kuongezea wekeni za kusikiliza ziwe nyingi ushauri tyuu
Za kusikiliza chache na watunzi wa simulizi za kuskia ziwe nyingi
Arafin Suleiman review Arafin Suleiman
It's good! It is attractive,educative and enjoyable! Make sure you don't miss it in your smart phone.
Salim Feisaly review Salim Feisaly
Kwanini mmetoa hadithi za kusikiliza nilikuwa naomba zirudishwe na kuongezwa nyingine kwa wingi
Radhia Rajabu review Radhia Rajabu
this app remove all of my stresswhen reading thanks to all creator and developer
A Google user review A Google user
Ni nzuri , Ila mngeweka utaratibu kama wa mwanzo wa kutafuta hadithi, sasa utaratibu umekuwa mbovu ukitaka hadithi kama ipo chini kabisa unapata kazi kuitafuta ukiangalia app ni nzito mpaka uifikie hadithi umeshachoka, fix it.
Venty wa Jozeey review Venty wa Jozeey
i loved it