Tala Tanzania APK

Tala Tanzania
Free   
7.34.0
10.46 MB
Tala Tanzania screenshot 1Tala Tanzania screenshot 2Tala Tanzania screenshot 3
Tala ni app nambari 1 Tanzania kwa huduma za kifedha kwenye akaunti yako ya Tigo Pesa! Tunakupatia mkopo mikononi mwako, wakati wowote na mahali popote. Pia ada zetu ni ndogo na tuna ratiba rahisi za marejesho.

Je! Inafanyaje kazi?
- Fungua akaunti yako ya Tala
- Omba mkopo kwa dakika 5 tu
- Pata jibu la ombi lako la mkopo baada ya sekunde chache tu
- Pesa itatumwa papo hapo kwenye akaunti yako ya Tigo Pesa
- Kopa na rejesha mkopo kwa wakati uweze kukopa viwango vikubwa zaidi

Sera ya Faragha: Unapo-download programu ya Tala, tutakuomba kusoma SMS zako pamoja na taarifa nyingine ili kuhakiki utambulisho wako, na hali yako ya kifedha, ili tuweze kukupatia mkopo wa haraka Tanzania nzima. Tunathamini sana faragha na taarifa zako binafsi hazitatolewa kwingine bila ya wewe kutoa idhini.

Tala Tanzania APK reviews


Login to post your reviews
David Malekela review David Malekela
If somebody is sick and need instant money can die waiting for it, you should be careful and fair on approving loans, but for you 3/4 of the beginners get the same answer!! Eti hujakidhi vigezo? You should mention those terms and conditions so one should decide to apply a loan or not... So may be 3* is enogh for now.
Changas Kambarage review Changas Kambarage
Can't complain about the judgment, though should provide us with feedback that can show us what to do precisely
Teddy Marcel review Teddy Marcel
Mnaiambia no yangu c sahihi
Francis Ndikumwami review Francis Ndikumwami
Awesome!
Bob Letsdo review Bob Letsdo
Mko vizuri
Kandege Benard review Kandege Benard
thanks